![]() |
| marthamboma during the day of confirmation |
LIFE EXPERIENCE
Tuesday, June 21, 2011
Thursday, April 21, 2011
Migomo vyuo vikuu hadi lini
By Martha Mboma
Migomo ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini imezidi kuongezeka kadri ya siku zinavyoenda na migomo hiyo inayotoke katika vyuo hivi vikuu nchini inatokana na sababu mbalimbali mpaka wanafunzi hao kugoma ivo serikali iangalie tatizo hili vizuri ili kuweza kupatia suluhu.
Katika migomo hii ya wanafunzi wa vyuo vikuu imekuwa ikitokana na sababu mbalimbali katika mgomo wa wanafunzi wa UDOM huu ulianzishwa na wanafunzi wa Kitivo cha sayansi na jamii ambapo walikuwa wakidai kuwa wkutoruhusiwa kufanya mazoezi kwa vitendo kuwa na miundo mbinu mibovu vyakula vibovu na uhaba wa maji katika chuo chao ndiko kulipelekea wanafunzi hao kugoma katia chuo hicho licha ya kwamba wanafunzi hao wamekuwa wakikabiliwa na matatizo mbalimbali ya kutokuwa na wahadhiri wakutosha na wanafunzi kutopata mikopo yao katika muda muafaka na hivyo kusababisha wao kugoma na kupoteza mda mwingi wa masomo yao na baadhi ya wanafunzi wenzao kuwekwa ndani baada ya mgomo huu.
Baada ya waziri Mizengo Kayanza Peter Pinda kuongea na na wahadhiri na wanafunz wa chuo kikuu cha UDOM na kuweza kusawazisha mambo wanafunzi hao walisitisha mgomo na kuhaidiwa watatekelezewa madai yao na wahadhiri kuendelea kufundishi uku katika chuo kikuu Makumira kilichopo jijini Arusha mambo yalkuwa mabaya baada ya wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza kitivo cha sheria na elimu kugoma wakidai mikopo yoa kuwa tangu novemba mwka jana hivyo kusababisha kuishi kwa shida na kutopata mahitaji mihimu ya kila siku mgomo huo wa wanafunzi wa Makumira ulisababisha kufunga barabara kuu ya Arusha Moshi lazima watanzania tujiulize uko bodi kuna nini mbona kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya.
Pia chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa wa wanafunzi wa kitivo cha elimu ya sanaa waligoma kutoka na kutotambulika na TCU kama kozi hii ipo katika chuo hiki na ivyo kusababisha wanafunzi hao kutopata mikopo yao pamoja na migomo hii inayotokea katika vyuo mbalimbali laakini bado serikali inashindwa kutafuta mbinu mbadala ili kuepukana na tatizo hili kwa linazidi kuwasugu kadri siku ziendavyo hapa nchi na katik migomo hiyo mingi imekuwa ikiongozwana vyuo vya serikali na vichache kutoka vyuo binafsi.
Hata ivyo migomo hii ikiendele kutulizwa katika vyuo vingine hali ikawa tata katika chuo cha Dar es salaam university college of education baada ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kugoma kuingia darasani baada ya kucheleshewa mikopo yao katika hili serikali la itambue ili iwezekujua mchawi na nani kati ya bodi ya mikopo na uongozi wa vyuo vikuu ambako migomo inatokea kila kukicha.
Pamoja na migomo hiyo ya wanafunzi wa vyuo vikuu kila kukicha lakini bado bodi inashindwa kuweka mambo sawa ili kufuta lawama wanazo pata kutoka kwa wanafunzi na watu mbalimbali kwasbabu migomo mingi inayotoke vyuo lawama wana tupiwa bodi ya mikopo.katika mgomo uliotokea katika chuo kikuu cha RUCO hivi karibuni wnafunzi hao waligomo kwasababu ya kucheleweshewa fedha za kujikimu na bodi ya mikopo.
Katika migomo hii yote inayotokea kwa sasa katika vyuo vikuu mbalimbali nchi lazima suala hili litafutiwe ufumbuzi ili kuweza kuepukana na tatizo hili kama tatizo ni bodi ya mikopo nchini serikali ifanyie uchunguzi suala hili kwani bodi imekuwa ikitupiwa lawama kila kukicha kuwa wao ndio cha cha migomo ya wanafunzi vyuoni.
Wanafunzi lazima watambue kuwa migomo sio suluhu ya matatizo ya kwani migomo hiyo husababisha baadhi ya kusosa masomo na wengine kufukuzwa vyuoni na migomo hiyo inawezakuwasaidia wakatimiziwa mahitaji yao kwa muda muafaka na villevile kutotimiziwa waliokuwa wanayahitaiji licha ya kwamba migomo hiyo ya wanafunzi husaidia kufichua yale mambo yaliyokuwa yamejificha vilevile kuhamasisha mabadiliko ambayo yanapelekea maendeleo katika vyuo vyao.
Monday, February 14, 2011
Number of victims of maternal death is reducing in Iringa town;
By Martha Mboma
Few passed years, maternal death was a big problem in the most people living in Iringa town, this happened due to different problems such as severe bleeding during giving birth, anemia and eclampsia. Therefore, these problems led to both, mother and child or only mother be able to die and leave a child alone.
However, now the number of victims of maternal death has declined due to some efforts made by doctors, nurses and health institutions by giving out education and seminars to women concerning women health. This has helped to reduce the problem.
The number of victims of maternal death in 2009 has been reduced compared two years before. Speaking to Tumaini Star miss Anna Mwakipesile who is the Maternity Health Coordinator of Iringa Municipal, said “ in 2009 there were 32 victims of maternal death, and this caused by different problems, 9 of them died due to postpartum hemorrhage( PHP), 6 due to sepsis, other 6 due to obstructed labor, 5 due to abortion, 2 due to malaria, 1 due to anemia,1 due to ante partum hemorrhage(APH), 1 due to eclampsia and the last 4 due to thromboebolion, abruption placenta and refractory response to treatments”.
Before these efforts, the victims in Iringa were many because there was an insufficient education about women health and most of them were not attending clinics for check up. But, now a number has reduced due to the fact that doctors, nurses and health institutions have been played a great role in educating women health.
Eclampsia was a mostly causative agent of maternal death in Iringa. This relates to high blood pressure during pregnancy. However, now some efforts have been made to reduce the problem, of course the side efforts are performing better and they are likely to help to reduce the problem.
Another problem was lack of enough hospitals and dispensaries near people’s residents. This problem caused most of the pregnant women unable to get the clinical services. Therefore now the problem has been reduced due to the increase in hospitals and dispensaries so that most of the people are well accessible to clinical and health services.
Anemia was another reason for maternal death, this problem happens because most of the women did not get proper diets during pregnant period. They do not get things like fruits and vegetables which help to increase the blood to a reasonable level. This is helpful to women for the duration of giving birth in case of severe bleeding while it can be compensated.
She further concluded that “Women must know the importance of attending hospitals from their early stage of their pregnancy till the end. This will help them to avoid problems, since the problems may be dangerous to them and their unborn children. thus this will be very helpful to reduce the level of maternal death in Iringa
Subscribe to:
Comments (Atom)

